Lamentations 3:48-49

48 aVijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu,
kwa sababu watu wangu wameangamizwa.

49Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma,
bila kupata nafuu,
Copyright information for SwhNEN